It’s Diamond’s birthday and all the kids he mentors have decided to celebrate him with Mbosso being the latest. Rayvanny earlier today shared a rather touching post about

Rayvanny shares picture showing Diamond Platnumz stooping low to help uplift him

Not to be outdone, Mbosso has decided to also post a rather touching post dedicated to the man who helped pull him out of poverty and help him gain fame and renown for his talent.


Mbosso posted the following message dedicated to the WCB boss and superstar pop icon:

“..Nakunywa Pombe nadondoka, Kwa ajili Yako we .., Tazama mpaka Watoto wananicheka, Sababu Yako Wee..” Wengi wao watakuwa wanajiuliza nimeandika kitu gani hapo Juu, ila naimani popote ulipo muda huu Ukisoma hiyo Mistari utakuwa unakumbuka huu wimbo.., Ulitokea kunipenda na kunitabilia mengi tangu siku ya kwanza unaniona narecord huu wimbo .. ‘Nanukuu’..” Boss , Dogo Hapa Kaimba Kama Mimi..” Majibu yalitoka kwa @mkubwafellatmk na Boss Tale@babutale ” Anakupenda Sana na tushamsema sana abadirike na aache Kukuiga atashindwa kutengeneza Fanbase Yake .. “, na Maongezo hayo yote yanaendelea Mimi nilikuwa bado siamini Kama kweli leo nimemuona @diamondplatnumz Live Bila Ya Chenga Daah !!!.., nafsi yako haikusita ukaingiza Vers moja kali kunibariki mdogo wako japo nilikuwa sijulikani na sijatoa wimbo hata Mmoja kwa lugha rahisi ni UNDERGROUND.. ,ila kutokana na Ubize wa Kazi zako basi ukawatu unanambia Mdogo wangu Wimbo wetu anaupenda sana Mama @mama_dangote na Mtoto Dada Esma @_esmaplatnumz anaitwa @Tahiyaplatnumz na nikitoka kushoot Video ya #Kesho nitakushtua tumalizie Mdogo wangu ..Ukaishia hapo.., kutoka na Speed ya kazi zako tukakosa time ya kumalizia .. ila kitendo cha Kuwa na namba yako tu ya Simu na ile Sauti yako nusu Kwenye CD ya wimbo wangu basi Amshaamsha zangu Temeke kila mtu alijua Mbosso ananamba za Diamond na Washafanya Collabo ..” basi kitu kidogo tu Bro DIAMOND KASEMA NISIMPE MTU NAMBA … BRO DIAMOND KASEMA NISIVAE MAKACHA .. BRO DIAMOND KASEMA NISIWE NATEMBEA SANA NA GITAA MGONGONI NITAKUWA SIO MNYAMWEZI 😂
“Asante Sana Bro leo Umewaaminisha wenye macho na Masikio kuwa Mbosso anakipaji na anaweza kufanya Mengi Mazuri .. Nakupenda Sana Bro na bado nakuhitaji sana Kwenye Safari yangu ya mziki.., Mungu akupe Umri Mrefu Wenye neema nyingi Bro inshaallah 🙏 @diamondplatnumz