Rose Muhando has been making headlines for a while now, after she was spotted being prayed for by Pastor Ng'ang'a.

A few days ago, gospel singer Anastacia Mukabwa was interviewed and she reveled that she flew to Dodoma so as to help Rose get medical treatment, and that she's in hospital.

Well Ringtone has come out to state that there are people who are forming Whatsapp groups all in the name that they are helping Rose.

Taking to social media, he warned people not to send money to an individual who claims to be helping the Tanzanian singer.

Read what he wrote;

Kuna wasanii Kenya wamefungua group na kuanza kuchangisha pesa eti wanamlipia Rose muhando bill ya hospitali ya around 1 million shillings.

1) Rose ako hospitali ipi??

2)Rose anaugua nini?

3)Mbona pesa zinatumwa kwa mtu binafsi????

Tarehe 27 November I REPORTED TO THE POLICE kuwa kuna watu wamemuteka Nyara Rose muhando na wanamtumia kwa mafanikio yao wenyewe. Polisi walifanya uchunguzi na wakapata Rose Muhando ako chini ya Evangelist Lumbasi. Ilipofika hapo niliacha kumtafuta nikiamini Evangelist Lumbasi atamsaidia buy mwenyewe ni askari na mhubiri. Jana usiku I spoke to Lumbasi na akasema hajui juu ya hiyo whatsup group ya mchango.

Anerlistancia mukabua amekua akuzungunguka kwa media akitafuta umaarufu kua amemusaidia Rose. Nina list ya waimbaji na waubiri ambao wanataka kulipa bill ya Rose Muhando kama kweli ipo bora tujue ni hospital gani na tuhakikishe bill ni ya ukweli. Sisi wote tunajua Anerlistancia Mukabua ana matatizo ya hela so hatuwezi kumuamini kuchangisha mamilioni ili hali yeye mwenyewe hajawai shika mamilioni. Tunawatahadhalisha watu wote wasitume msaada wa Rose MUHANDO kwa watu binafsi ambao wanaweza kua wakitafuta riziki kutumia matatizo ya Rose Muhando.