Otile Brown
Otile Brown
Image: Instagram

Willy Paul is the current talk of town after the fed up musician posted threatening MCSK.

In the now viral video the knife wielding Pozze is heard telling guys at MCSK  that they better make a turn, that they will not like it.

"It’s so sad that the government has failed to help the artists! Yaani tunaibiwa tu na hawa wazeee MCSKK and the rest! We don’t work for you!! Some of us came from nothing like me and here you are, feeding your balls and ovaries with our money!!!" shouts Willy Paul.

Willy Paul was not the first musician to call out MCSK and his rants came after Khaligraph had expressed his disappointment against the organization.

Many artists are slowly speaking up and Otile Brown took his time and penned President Kenyatta an emotional letter highlighting the problems they are facing.

In his letter, Otile pointed out that they are being robbed in broad daylight yet they have people looking up to them.

He pleaded with the president to have those responsible, prosecuted, their properties reclaimed and use the proceeds towards helping the ailing artists.

Read Otile Brown's lengthy emotional letter below;

I feel you’re pain my brother @willy.paul.msafi Hakika nimeliaMheshimiwa Rais @ukenyatta heshima yako . Samahani! Nina machache ya kusema endapo yatakufikia 🙏 Mimi ni msani Mzalendo wa mziki wa kizazi kipya toka hapa nchini nafahamika kama Otilebrown naKutokana na utafiti tunafahamu fika kua nchi hii yetu ya kenya 🇰🇪 ni nchi yenye changa moto za ukosefu wa ajira kwa vijana .Alhamdulilah! “ Wengine” tumejaaliwa vipaji vinavyotuwezesha kujipa kipato kidogo kupitia tasnia ya mziki , tumejitengenezea ajira bila usaidizi wowote waSerikali na bado huwa tunalipa ushuru inavyostahili bila kulalama ...Chakusikitisha nikua bado hatupati tunachostahili , viongozi na wasimamizi wanatupora nakutudhulumu wakati wengi wetu tumetoka kwenye familia za kimaskini na tunategemewa kiasi kikubwa... Swali langu ni wasimamizi wa MCSK baada ya kukiri na kukubali mashtaka, ni hatua gani watachukuliwa?? Tungependa kuona wamefungwa gerezani na mali zao kuchukuliwa na kurudishwa kwenye tasnia ya sanaa .. kama kweli tuna utu na tunataka mabadiliko kwenye nchi yetu.. Inauma sanaa mheshimiwa..

He continued;

Rais @ukenyattaSahii kwanzia January inasemekana kuwa serikali inataka kuanza kututoza ushuru kupita mtandao wa YouTube ambao tumekua tukitegemea baada ya kutukata tamaa na viongozi waliokataa kutupatia haki yetu na kutudhulumu hadharani 🤦‍♂️ Bila woga. Nahisi umefika wakati wanatukatisha tamaa , tumetengwa na hakuna anayetujali hata kile kidogo cha kulisha familia zetu kinachukuliwa.I love my country 🇰🇪 Mwenyezi mungu tusimamie 🙏Mheshimiwa Rais @ukenyatta .. we’re not asking for anything from the government but to be given, what is rightfully ours .. please please please !!!!🙏