There has always been that debate that yes 'Mwanaume ni effort' but there are things a man shouldn't do or own.
Well blame it on toxic masculinity but many have grown to subscribe to those ideas.
So a poll was recently done on the number of towels a man should own and well the answers from the gentlemen were too hilarious to ignore.
Trust me if you need a good old laugh as we near the end of 2020, then you need to read the answers below;
Alkapon: Mwanaume anafanya nini na towel😅 mwanaume ni kukaa kwa jua akauke😂
Slime: Moja tu na tunaitumianga kushikia sufuria tukipika ugali pia
Frank Francis: What is a Towel?! 🤷🏽♂️ Mwanaume ni kuoga alaf unapigwa na shock unakauka😅
Future the kid: Mwanaume nikuroll kwa mchanga maji itoke
Vonn Muriuki: Mwanaume anapaswa kusimama kwa balcony akauke🤣🤣
Alfred Kinyae: Mwanaume ni kuruka ruka hadi unakauka, hapana tambua towel
Gabriel Kennedy: Towel ya nini kwanza, hio kitu haifai kuwa kwa vocabulary ya mwanaume, mwanaume akishaoga anatingikatingika kama doggy na anaenda kuvaa nguo
Evalyna: Towel ya kazi gani,mwanaume ni kuoga mara moja kwa mwezi na kukaa kwa jua akauke😂😂
Phylo: Mwanaume ninkujitingiza kama paka alafu anakauka towel ni ya kupiga pasi tu
Deejay rix: Towel ni brand ya kiatu gani? Mwanaume ni unatoka nje unatingika kama mbwa maji ina evaporate😂😂😂
Karoko: Mwanaume anafanya nini na towel... mwanaume ni kujirusha kwa moto akauke
Ken de shirox: Mwanaume towel ni ya kufanya nni sasa....mwanaume akishaoga ni kujipanguza na ukuta ukipita ukienda kuvaa
Maureen Makena: Moja ya black 😂😂
Wizz Mwas: Mwanaume ata hafi kuwa na ngozi
Malik: Moja ya kuosha nyumba the rest nature will sort
Tintin: MWANAUME UNAFANYIA NINI TOWEL LABDA SAND PAPER