Zari Hassan has revealed that she is a victim of domestic violence.

In a lengthy post, Zari stated that it took her a lot of courage to say enough is enough and walk out of her abusive marriage.

She says she was not ready to wait to go to the grave before speaking up.

The mother of five went on to encourage women to speak up against any form of violence and not be bothered about what the society will say or view them.

In addition to that, Zari revealed that many prominent people are suffering in silence for fear of being turned into a laughing stock or tarnishing their names.

This comes just days after popular Tanzanian artiste, Shilole shocked many when she revealed that she has been in an abusive marriage.

Shilole shared photos showing gruesome facial injuries inflicted by her then husband, Uchebe.

The sad news sparked conversations across Tanzania with both male and female celebrities calling out domestic violence, as well as encouraging women to speak up.

Read Zari's message below.

Mimi ni muhanga wa unyanyasaji wa wa kimwili, ilichukua ujasiri mkubwa sana wa kuweza kujitambu na kusema kwa sasa inatosha. Ivi kweli lazima nisubir mpaka nifike kwenye jeneza bila kusema chochote? Siku zote huwa tunaogopa, hasa kitu gani watu watasema, labda nitahukumiwa au labda nimejitakia mwenyewe au labda sisi tuna mahusiano mazuri kwamba kitu gani familia na jamii watasema. hapana, mimi ni mtu maarufu itaniletea aibu kwenye jina langu. Na sina sehemu ya kwenda, wapi nitakula, siwezi kupata kazi, nawaondoa watoto wangu kwa baba yao, nitakataliwa na familia yangu, nitakuwa mke au mwenza mbaya kwa sababu baadhi ya wanawake wa kiafrika walikuzwa katika katika mazingira ya kubaki na waume zao kwa vyovyote itakavyokuwa.Mara nyingi nimekuwa nikiulizwa kwa nini naacha utajiri wote wakati wanawake wengine wanautafuta. Niliitwa mjinga. Huku wakiwa hawajui kitu ambacho kipo nyuma ya pazia. Hayo yote yataisha lini, na muda gani ambao ulikuwa mzuri kusema basi sasa inatosha? Hamna muda muafaka lakini ngoja nikuambia kitu, kila kitu kinaanzia kwako wewe mwenyewe.Kwa sababu kadri unakaa kimya na kufumbia macho kwa namna yoyote ile, haiwezi kuisha. KILA KITU KINAANZIA NA WEWE MWENYEWE.PINGA UNYANYASAJI WA KIJINSIA, PINGA UNYANYASAJI WA WANAWAKE NA WATOTO.Hakuna sababu ya kunyanyaswa hata kama akiwa yeye ni mbaya au laa, hauna haki ya kumpiga mwanamke. Kumpiga mwanamke kama mtoto mdogoNakumbuka wakati nipo South Afrika, kuna polisi aliwahi kuniambia. Wao huwa wanawaweka mahabusu wanaume wanao piga wanawake pamoja na wafungwa wanaotumikia kifungo cha maisha. Ambapo wafungwa wanaotumikia kifungo cha maisha wanawanyanyasa hao wanaume ili kuwaonjesha na wao ladha ya unyanyasaji ipoje. Huwezi jua ladha ya shubir mpaka na wewe uonje.PINGA UNYANYASAJI WA WANAWAKE NA WATOTO.#SayNoToDomesticViolence