On Wednesday afternoon, Tanzanian popular singer, Shilole, left many hearts shattered after she opened up on the gruesome life she has been leading under her husband, Uchebe.

In a lengthy post, Shilole began by asking for forgiveness from her family members, for making them believe that she her marriage life was a smooth sail, while all along she was being subjected to domestic violence.

She apologized for always being the one to call out men who beat up their men, for encouraging women to speak out against violence in marriage, yet she was suffering in silence.

 

Shilole and Uchebe tied the knot back in 2018 in a ceremony that was witnessed by the who is who in Tanzania.

Naandika haya, nikiwa na akili timamu na utulivu, La kwanza kabisa nataka KUOMBA RADHI JAMII YANGU. Naomba radhi kwa sababu niliwaaminisha ndoa yangu haina tatizo, huku ukweli ukiwa hauko hivyo, nimekuwa mtu wa kuambulia vipigo na MENGINE yasiyozungumzika, Naomba radhi kwa sababu niliposikia wanawake wenzangu wakipigwa niliwaambia PAZENI SAUTI, niliposikia mwanamke kule Kigamboni ameuwawa na kuchomwa moto niliomboleza na jamii na kusema Bora angesema".. huku mimi nikijikausha na kujitoa kwenye kundi lao wakati ukweli wangu MIMI NI MWENZAO, Naomba radhi.

She went on to add that she no longer identifies herself as Uchebe's wife and she is leaving the marriage for her kids' sake.

Shilole says she did so because she can't imagine leaving her kids on the streets after she is dead.

Read the rest of her post below,

Mimi ni kioo cha jamii, tena sura kubwa ya wanawake. Leo numeona nivunje ukimya kwa kuweka wazi kwamba MUME WANGU ASHRAFU SADIKI, maarufu kama UCHEBE AMEKUWA ANANIPIGA SAAANA, na tena hata baada ya kunipiga hajali kupiga simu wala kujua naendeleaje, nauguzwa na watu baki hospitali, na bado manyanyaso mengine yanayoikosesha hii ninayoiita Ndoa uhai na furahana zaidi nina WATOTO, watoto wanaoniangalia kama Baba na Mama, leo nikubali kufa na kuacha wanangu barabarani, SITAWEZA.'Uchebe' ni mwanaume niliyempenda, nilimvumilia kwa madhaifu yote, nikampa kila kitu, (Utu wangu, Mali Zangu na hata palipotakiwa kumuendeleza asimame mwenyewe nilifanya kwakuwa nilijua tuko pamoja), lakini HILO HALIKUWAHI KUZUIA VIPIGO, DHARAU NA USALITI..Siku 2 zilizopita baada ya kutoka SABASABA KUTAFUTIA WATOTO WANGU NA KUMTAFUTIA YEYE NILIPIGWA SANA. SABABU ZA KUPIGWA NI MIGOGORO MIDOGO YA KAWAIDA AMBAYO IPO KWENYE KILA NDOA, sio kwamba amenifumania au mambo yanayoshindwa kuzungumzika, hapana, Tena Namuheshimu sana, lakini solution aliyoiona ni kunipiga kinyama bila huruma, tena kwa kunishtua na ngumi nikiwa usingizini, Kama mnavyoona picha hapo ni matukio ya siku tofauti tofauti.Najua nitalaumiwa kwa kuweka hili mtandaoni, ILA SINA NAMNA, MAISHA YANGU NI MAISHA YA WATU KWA KIASI KIKUBWA, JAMII INANITAZAMA KAMA MFANO.. Nimefika mwisho, na kuanzia sasa naomba nisitambulike kama Mke wa Uchebe, ila Mama alieamua kuweka maslahi ya watoto wake mbele na kuamua kuwa mwenyewe kwa usalama na furaha yakeWakati nahangaikia mambo yangu ya ndoa, post hii itumike kuwakumbusha wanawake TUVUNJE UKIMYA, TUPINGE UKATILI, TUTAKUJA KUULIWA SABABU

After sharing her painful experience, loads of Tanzania celebrities flooded her comment section, to offer her support as many called out Uchebe's behavior.

 

Check out some of their reactions below;

Zarithebosslady: Pokea simu mummy

Rosa Ree: Shilole dahhhh😭 umenitoa machozi. Wewe ni mwanamke mzuri, mrembo, mwenye akili na mpambanaji... mwanaume yeyote anatakiwa kujua kwamba ana Bahati kubwaaa sana hata kuwepo katika chumba kimoja na wewe. Haustahili mwanaume asiyejua thamani yako! Pole sanaaa dada yangu. Mwenyezi Mungu akutie nguvu kwenye hili! Pole sana!

Moodewji: Pole sana sana sana da Shilole. You don’t deserve this at all! Mwenyezi Mungu akusimamie πŸ™πŸ½

Iambenpol: Ah my Sister pole sana, Mwenyezi Mungu akulinde, wewe ni Kiongozi wetu, nakuombea uwe IMARA πŸ’™

Elizabethmichael:Pole sana sis...Mw/Mungu akupitishe katika hili πŸ™

Aikanavykenzo: 😒😒😒😒 Pole sana 😭😭😭