Nyota Ndogo is in mourning.

The star was in tears when she found out the man who discovered her and even gave her the stage name she uses to date.


Nyota-Ndogos-producer-Andrew

Nyota Ndogo paid tribute to her producer only identified as Andrew.

R. I. P. huyu ndie alienipa jina la nyota ndogo. Huyu ndie alio ona kipaji changu na kusimamia garama zote. Nakumbuka wakati nilipompigia simu kumuambia nipo na mood mbaya huku nalia kwa simu akaniuliza kama naweza kuja tuongee. Nilipanda matatu mpaka ganjoni nikaanza kumueleza kinachonisumbua then nikamwambia nataka tuingie studio nataka kuimba. Akaniambia unsimba nyimbo gani? Nikamwambia hata sijui wewe nipe tu mic nirekodi nitoe uchungu wangu. Akanipa mziki basi mistari ya vesi ya kwanza ulikua free style. Ulikua inakwenda hivi. RAFIKI YANGU MPENDWA NAJA KWAKO SIKU NYINGI. WANIPOKEA KWAUZURI SIKU ZOTE. WAKATI SINA WANIPA NITAKACHO HUSITI NISEMACHO KWAKO SAWA WANIONBEA MUNGU. mpaka nikafika kwa ooh kuna watu na viatu duniani bado ulikua, free style. Huku naimba na kulia couse rafiki kanitenda. Huyu jamaa amenitoa mbali sana,” she said.

Nyota Ndogo found out about his death and posted this video crying.

Nilipo nimeamka na UZUNI SI haba siamini Madebe katuacha ..Historia yangu naye naweza sema madebe ndo kitovu cha kuwepo kwa Nyota Ndogo ..Baada babangu mzazi kufariki dunia huyu ndiye kama babangu mlezi kimziki. maisha yangu kufanikiwa kimziki mizizi ni huyu alinipa fursa kirecord studio kwake buree jina Nyota alinipa yeye pia hivi machozi yanindondoka maana uchungu naohisi kama ule nilohisi babangu mzazi alipotuwacha ..kama sio madebe nahisi ningekuwa bado kijakazi ,kumjua @teddjosiah ni huyu huyu madebe ..katika mawasiliano yangu nayeye alikuwa akiniambia anasubiri kifo chake tu maana alikuwa kapooza mwili mzima jamani ni njia tutapita sote Allah akufanyie wepesi adhabu zako Dua njema nakusalia.maisha yangu nahisi hayangekuwa kama yalivyo kama sio kwa madebe kunishika mkono kimziki .

A post shared by nyota ndogo nielsen (@nyota_ndogo) on

The Watu Na Viatu star went ahead to pay tribute the the fallen producer by reminiscing about her interaction with him.

“Hii picha Andrew ndio alienipiga. Nakumbuka hapa nilikua bado mfanyikazi wa nyumbani lakini nilikua nimeshamaliza kufanya album nzima kwa studio yake sasa anakimbia yeye kwa maredio kupeleka nyimbo zangu zichezwe na yes zilichezwa sana,” Nyota said posting this photo.

Nyota-Ndogo

Nyota Continued, “Walikua wakija wasanii wakubwa kutoka nairobi na waliopo mombasa wakati huo andrew ananiombea show anapigia boss wangu simu kuimba kama naweza kwenda show maana bado nilikua mfanya kazi wa ndani. Alinipiga picha hio kwa moja za show hizo. Tulipiga show nyingi bure kwakutaka kujulikana. Saizi mwambie chipukizi akiskia show akaombe ili ajulikane wallai atakutukana.”

More Gist