Tanzanian singer Harmonize is in Kenya for Coke Studio appearance.

He visited the Kiss FM studio's, where he revealed details of his mishap in Eldoret, where he failed to perform, leaving fans agitated.

One thing that riled him was Jaguar's response to the incident.

'Kile kitu kilifanya nisikie vibaya ni nilvyo sikia kauli ya my brother Jaguar. Unajua nini, mtu kama Jaguar licha ya kuwa mwanamuziki lakini anacheo katika serikali na jamii pia wanamuamini ana wadhifa wa kuwakilisha wasanii. So akiongea kauli yake yoyote watu wanikichukulia kitu kikubwa Nikasema doh, maskini bro hajui what is going on. Niakjiuliza lakini Jaguar ni mkubwa wa wasanii sio wa promoters kama niko sawa So alivyosikia kuna kitu kimetokea atakiwe anitafute aniulize what is going on.

Sasa nikasema au amenibagua? Mimi na Jaguar tumekutana like so many times and I hope ana number yangu, na mi nina number yake pia. Alivyosikia kuna kitu kimetokea hivyo hakutakiwa kwenda social media, aanze kuongea kwasababu hajui Mi naona labda alitafuta promoters ndio akamuuliza.

I was feeling so bad, I love my brother Jaguar na anafanya vitu vizuri anafanya vitu kubwa na tunajivunia, I'm proud for him, but ha..ilifanya nisikie vibaya.

He concluded the interview.