Wema Sepetu is in trouble after a video of her making out with her bae went viral. She went ahead and apologised for what transpired saying;

Nimeamua kutake full responsibility. Naomba radhi. Naomba radhi kwa kugundua baya nilililolifanya kua ni baya. Huenda ni vitendo vya kawaida vinavyofanywa na wote lakini vinavyotoka nje huwa vinaleta taaswira tofauti isiyopendeza na ni zaidi ya aidbu.

Wema Sepetu/ Instagram

She added, “Nimekosea sana na ninaomba radhi na upuuzi ambao nimefanya. Tangu nimeingia kwenye dunia ya umaarufu 2006 nimefanya utoto na ujinga mwingi sana ambao umekua ukivunj watu wengi nguvu.”


Check out the video:

View this post on Instagram

๐Ÿ™†๐Ÿผ๐Ÿ™†๐Ÿผ๐Ÿ™†๐Ÿผ๐Ÿ™†๐Ÿผ what happened to her ??? Is she alright ??? Is she back to drugs ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ poor Wema's mother must be crying right now ๐Ÿ˜ญ !!!!! Haya @baba_keagan. njoo uenjoy video ya Tz sweetheart uliyemchagua na kuwaponda watoto wa watu ambao hawajakukosea !!!! . . Dear Wema !!! Stop this baby !!!! Hata Kama you are in love , please keep it private ๐Ÿ™†๐Ÿผ๐Ÿ™†๐Ÿผ๐Ÿ™†๐Ÿผ haki nasikia uchungu kama nimemzaa vile ๐Ÿคฆ๐Ÿพโ€โ™€๏ธ๐Ÿคฆ๐Ÿพโ€โ™€๏ธ๐Ÿคฆ๐Ÿพโ€โ™€๏ธ . . Haya Team wema your role model ndo huyo muigeni !!!!!! Si mlisema ni mwenye insta yake !!! Basi post this one achafue Instagram !!!!! Kashasahau hata plan ya duka jamoni ๐Ÿคฆ๐Ÿพโ€โ™€๏ธ๐Ÿคฆ๐Ÿพโ€โ™€๏ธ!!!!

A post shared by The_originaleast (@the_originaleast) on

After the Tanzanian Government through its Film Classification Board banned Wema Sepetu from taking part in any film related activities, Ray C has jot down a message of encouragement to Wema.

She wrote, “Nakumbuka 2006 Mange alinipigia Simu akaniambia anakuja nyumbani na mshiriki mmoja atakaeperform wimbo wangu kwenye kipengele cha Vipaji kwenye mashindano ya urembo ya (Miss Indian Ocean)na inabidi tumvalishe kama mimi nikamwambia sawa!walipofika nyumbani Kwangu nilimwangalia wema juu mpaka chini na alivyo mrefu,nikamwambia Mange huyu anashinda Miss Tanzania,nakumbuka alikuwa mwembamba,mrembo na mwenye aibu and I was like Wow!!!!Anyway kiufupi Nakupenda mpaka leo Wema,Maisha ni Kama milima!wewe bado ni mdogo sana na una nafasi ya kuwa utakacho!pamoja na yanayoendelea sasa bado moyo wangu una imani na wewe kuwa utasimama tena zaidi ya juzi jana na leo na Utakua.Never give up!Dunia inaweza kukubadilikia kutoka kuwa kipenzi cha watu na kuwa Public enemy number one!Its normal!!!Its ok!ila kumbuka Familia yako ndio kila kitu!Please usihuzunike ukajiona wewe ndo mkosaji dunia nzima maana kila binadamu ana majanga yake ni Mungu tu ndio mkamilifu ingawa sio sababu ya kutufanya kurudia makosa over and over again!Nakupenda na nina imani na wewe!Nakutakia kila la kheri katika maisha yako na natamani kumuona Wema Mpya.Lots ofย  love @wemasepetu โ€

Read More Here