It would seem Harmonize is not as dumb as we might have been led to believe. Perhaps his intelligence is in the people Harmonize has around him as he builds his new label Konde Boy. Whatever the case may be, Harmonize has articulated his plan for the growth of his brand and how he will take Bongo Flava to the rest of the world using Konde Boy as his vehicle.

In an interview with BBC Swahili, the guys said he is grateful for the massive love shown in the UK and this was evidence that his performance was announced afew days prior to the One Africa Music Fest.

Well, album yangu inaitwa Bongo to Lagos. Itakua ni more of collaborations kwa wasanii wa West Africa and East Africa. Na ni kama East meet West. But the point is kuonyesha wasanii wa West Africa watambue zaidi mziki wetu, wajue bongo flava kwa undani. Mi naita Afro-East.

Sisi mziki wetu hauwezi kuitwa Afrobeats kwa sababu una Kiswahili ndani, tunauita Afro-East.

Mziki ni ule ule. Kwa hiyo mimi naona ikichanganyika na Kiswahili, inakua ni Afro-East. So album yangu inaitwa Bongo to Lagosni kumix to ladha kwa pamoja na naamini itakua ni vizuri. So Mungu akinijalia, mwisho wa mwaka nitaachia.

What I believe is, tunaeza kufanya kwa sababu tuna crowd kubwa ya East Africa, tuna WaKenya wengi sana, wanatusupport. Pia Burundi, Rwanda, Uganda, wa-Tanzania ni wengi sana lakini pia Zimbabwe na maeneo tofauti tofauti. Lakini pia mziki wetu unajaribu kidogo kupenya Nigeria na sehemu tofauti tofauti. So tukitangaza show na kiandaliwe vizuri, naamini kabisa itaja.

So my plan, na target yangu, na nilivyoiambia nafsi yangu kwamba next year nitaitangaza tarehe, lakini, I’m trying to London Arena 02. I believe inaezekana kabisa.