Diamond Platnumz has ruined yet another artiste's marriage. Yep it would seem if you are a female artiste or a female in general, you really cannot be flaunting your friendship with Diamond Platnumz.

And who can blame him? Diamond is the stuff of dreams: he is young and rich. That is bound to set off many a woman's hypergamous alarms. And it certainly makes these women's men start questioning whether or not their women are cheating whenever they realize how close they are with Diamond.

A lady who realized just how violent mate-guarding can get is a Tanzanian singer by the name of Ruby. She has come out to reveal how her man made her life a waking nightmare all because he was jealous of her relationship with Diamond Platnumz and Juma Jux.

She has decided to protect herself so she may be in her daughter's life for longer rather than have to deal with a jealous mate who is intent on beating her biological nature out of her and hopefully his insecurities out of himself. Check out what Ruby had to say below:

Nimekuwa nikijiuliza niseme ama nionge kwa nani ila katika hizi dhama lazima kusema ukweli wenda nayopitia ama niliomaliza kupitia yanampata binti wa kike mwenye umri kama wangu au zaidi yangu ila tu amekuwa kifungoni kwa kasumba yakuonekana mbaya kama taswira ilivyo kwa watu wengi kuwa wanawake huwa tunazingua sana.

Nimepitia vipigo, manyanyaso, fedhea, kudhalilushwa na kuitwa majina yote kutoka katika kinywa na mikono ya mwanaume ambae alikuja kwangu kutaka support ya kimuziki ila unajua tena love doesn't ask why? Nilijitolea kumpa support na kuonesha uma kuwa Nina muamini na Nina imani na kipaji chake ila ili hali kuna msemo unasema mwana kulitaka mwana kulipewa; Nimekuwa nikitumia ata jina langu ili dogo kumpambania na kumtambulisha kwa wasanii waliondelea ila mwisho wa siku Nimekuwa nikiambulia vipigo na kuitwa majina ambayo mengine siwezi yaandika kwasababu kuyasema ni kuweka kumbukizi Katika tamati ya maisha niliyomuomba Mungu anipe muongozo na anioneshe njia iliyo bora zaidi.

Ukiangalia baada ya kila jambo niliamini labda yataisha na mwenzangu kubadilika ila aikuwa kama nilivyotegemea. Despite kujitoa kwa familia yangu na yake na kuwa mbele kwa kila jambo lake ata kutumia kidogo changu kumpush kwa njia tofauti ila bado aikuwa na mantiki kwake.

Mimi ni binti mdogo ambae Nina vision na maisha mbele yangu siwezi katishwa tamaa na jambo lolote linaloendelea na yanayofanywa na baba mtoto wangu kwasababu nimeamua kufikia tamati laasha ningemshauri muda huo anaotumia kuyasema ya uongo angetumia kumuombea mtoto wake akuwe katika njia zimpendezayo Mungu kwasababu kwa kumuangalia sintotaka kumpa mzigo huo kwasababu binafsi anajua nilivyopambana kwake na familia kiujumla ila kwa anayofanya nakuombea Mungu akupe amani ya Moyo. 

Nimejitahidi kwa uwezo wangu kukuunganisha na kaka yangu  mwisho wa siku unishushie makofi natembea nae ukuishia apo unayasambaza na ya mtu tunae eshimiana kusema natembea nae.

Hii kama mtoto wa kike inaniharibia taswira mbele ya jamii yangu na watu wanaoniangalia kama kioo ili hali ni chuki tu na kutokujitambua kunafanya mtu anaamua kuunda na magroup kusambaza stori hizi ili nionekane mbaya.

INAENDELEA.....

https://www.instagram.com/p/B42oab7hjV8/

I cannot imagine being Diamond Platnumz. Homes are breaking up even without my knowledge that I am the cause.