Zari Hassan
Zari Hassan

Zari Hassan's latest videos and photos show that the mother of five might has a new feature on her face; dimples.

A video shared by Tanzanian-American based blogger Mange Kimambi show the businesswoman flaunting her new dimples.

Watch;

Mange Kimambi on Instagram: "Nyie shoga yangu kaweka dimples, 不不不不不不 . Hapana aiseeee kama kuna mtu yuko uncomfortable in her own skin ni huyu aiseee.. kuweka wowowo yeye, kubana tumbo yeye, kuchonga miguu yeye, sindano za lips yeye, kuweka dimples yeye.. Huyu kuna siku ataiingia operating room na hatoamka tena, hizi surgery ni nyingi alafu anazifanya tofauti. Hiyo age yake pia sio nzuri kabisa kupigwa nusu kaputi hovyo hovyo. . Ila bora dimples zake nzuri sio kama zile za Muna Love zilikuwa kama zimepigiliwa na msumari 不不不, yani kishimo hakieleweki. Dimples za Bi Tukinao nzuri ila zikae sasa sio zipoteee kama za Muna. Walichokosea ni location tu ya dimple. . . Bi Tuks kinachomfanya anahangaika kutwa na ma surgery ni sababu ya kutoka na vitoto vidogo, she is trying to keep up with their young looks. Angekuwa anatoka na wazee kama sisi wenzie wala asingekuwa na hizi pressure. Kama mimi hapa jamaa yangu kanipita 22 years yani ananiona kitoto sasa unadhani nna waza surgery? Ila ningekuwa na toka na kijana w 30 years najua visichana vya miaka 20s na 30s vinamtaka si kila siku asubuhi ningekuwa najiangalia kwenyw kioo kutafuta kunyazi la kurekebisha Ila naishi kwa amani ya roho jamaa yangu ananiona mtoto mbichiiiii kabisaaaaa na kunidekeza juuu 不不不, ananiita African Princess mara 100 kwa siku, sio hata African Queen ananiona sijafika umri wakuitwa Queen, basi nabaki ka Princess, nyieeeeeeeee 不不不. Ila mi sijawahi kuwaelewa wamama kama Zari why wana hangaika na vitoto tena vitoto havina hata shingi 5 benki , ukiuliza kisa nini ? Sababu ni mbili, 1. na yeye aonyeshe kwenye social media ana bwana wa kumdinya 2. ngenye. Hizo ngenye kali mpaka unatiwa na kitoto kidogo unaweza kukizaa alafu bado unakihonga sidhani kama ntawahi kuzipata mpare mimi. Mimi mwanaume wa kunipa ngenye ni mwenye hela ndefu tu kwa kweli 不不不. Bila hela tendo lenyewe naliona bonge ya kero. Ila kama hela ipo uwiiiiii dyudyu naililia kabisaaa 不不不不不Yani hata sasa hivi niko na hela zangu mwenyewe ila bado nataka bwana alienizidi maokoto, tena anizidi kweli. Asienizidi maokoto simtakiiiiiiiii 不. Bora niwe single nijijue sina mwanaume kuliko kuwa na mwanaume asie na maokoto ya kueleweka."

According to Healthline, artificial dimples are acquired through a cosmetic procedure called 'dimpleplasty.'

A dimpleplasty is a type of plastic surgery used to create dimples on the cheeks. 

Just this year, Zari said she had done tummy and leg surgeries.

What people say about me undergoing plastic surgery is true but I just removed the excess fat within my legs and tummy," she confirmed

Adding "For now, no matter how fat I get, my stomach and legs cant go back to the previous size."

Check out fan's reactions;

Ummyrams: As long as she is happy

ElizabethClemmoswilo: Mwili wake pesa zake ww unaumia nn

Janerozaniplace: Ila kuna watu wanaongeza vitu kwa gharama kubwa Alaf kuna sisi tumevalikuwa navyo Wacha nimshukuru Mungu wangu

Mankiyasuleiman: Kusema kweli zimempendeza yaani mi jamani zari mrembo

Aminatasportslady; KAMA ANATUMIA PESA ZAKE NI SAWA TU SABABU MWILI NI WA KWAKE ANAWEZA UFANYA CHOCHOTE ANATAKA

German2dar: Mnahangaika me na dimpoz mpaka nataman kugawa afu hizi sie kwetu mpaka wanaume na watoto wetu tunaozaa alama ni dimpoz

Careen official: Ivi kumbe kuna watu wanapend dimples hiviiwoiii,,haya mkuje mchukue

Symplygatha: kapendeza sana jamani yaan waaooow